MSHTUKO: Yawezekana Vodacom wameiondoa huduma ya free basics

MSHTUKO: Yawezekana Vodacom wameiondoa huduma ya free basics

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu nikiwa bado kwenye mshangao wa gharama mpya za data bundles karibia mitandao yote , nimeshtushwa kupata ujumbe kuwa huduma ya data bila malipo imeondolewa Vodacom.

Kwa hakika wanyonge tunapigwa kila upande.

Screenshot_2021-04-02-18-45-49-104_com.android.chrome.jpg
 
Ma Sisiemu ni yaleyale
Hapa linatengenezwa tatizo ili mtatuzi aje kutatua halafu tumshangilie,,
 
Nadhani wameondoa baada ya kupadili bei ya vifurushi na watu wakakimbilia free basic,dawa ni kubadili line,Mimi hapa nimehamia halotel mambo shwari.
 
Vodacom mtandao wangu wa miaka mingi ushaurivwa bure,Jitathimini unaelekea kushuka kimapato.
 
Back
Top Bottom