Mshukiwa wa dawa za kulevya aliyetajwa na Mwakyembe!

Hivi hizi taarifa zilipo tolewa kwa mara ya kwanza katika gazeti la SANI,ili chukuliwa kama kikatuni cha madenge vile !!. Sasa Mwakyembe kataja hawa wafanya bzns,ndio tuna kumbuka kuwa kumbe taarifa ya MADENGE ilikuwa sio kichekesho.
 
mbona haelekei kuwa mtu wa 'bilioni 7'? bado kuna "vingunge" nyuma yake!
 
Episode hii ilipita kimya! Sijui hii mpya? Nassoro Mangunga yupo kwenye list ya makoo? Au huyu ni Shem?!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…