passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
huyu wa kuitwa simba kalewa pepsi.
Brother,lakini kwa usema kweli wimbo wa kiba ni wa Moto.Hizo zote "takataka"
Naachaje kusikiliza nyimbo kama Ghetto love na Joro kwasababu ya hizo "takataka"?
Wimbo wa Kiba si wa dunia hii.Huwezi fananisha Mfalme na Vijakazi hata siku moja aisee!!!!
Hahaaa[emoji23][emoji23]huyu wa kuitwa simba kalewa pepsi.
Hamna bro,tunapita quality za nyimbo zetu za bongo fleva.sasa tutashindana vipi na wanaijeria Kama tunawaiga wao.Endeleeni kuwa wachambuz, wakosoaji nk
Wimbo wa kawaida mno...Brother,lakini kwa usema kweli wimbo wa kiba ni wa Moto.
Wimbo wa kawaida mno...
Jina lake na upinzani wake na Diamond ndio utakaofanya huo wimbo usikike..!
Diamond na Ali Kiba wameshaishiwa, nguvu kubwa mnayoipoteza kwa hawa jamaa mngeitumia kwa Marioo..!
Sawasawa.Kusema kweli sikupanga kuandika chochote kuhusu misunderstanding iliyojitokeza kati ya Alikiba na Diamond lakini Katika hii super song aliyoitoa Jana,Khaaa nafsi imeshindwa kuvumilia.
Huyu jamaa acha aitwe King of Bongo fleva anajuwa Sana.Song is dope tangu imetoka bado haijatoka kwenye playlist yangu.
[emoji106]1.Ali kiba -mshumaa
2.harmonize-uno
3.daimond-baba lao
Hatukatai Diamond ni msanii mkali,lakini Ali kina anazidi kuonesha anakipaji Cha hali ya juu.Domo babalaoo