Mshumaa vs kiuno vs baba lao

Mshumaa vs kiuno vs baba lao

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,192
Reaction score
11,897
Ali Kiba katoa wimbo,Diamond na Harmonize pia.

Nani kapatia,nani katoa kazi ya hovyo?
 
Kusema kweli sikupanga kuandika chochote kuhusu misunderstanding iliyojitokeza kati ya Alikiba na Diamond lakini Katika hii super song aliyoitoa Jana,Khaaa nafsi imeshindwa kuvumilia.

Huyu jamaa acha aitwe King of Bongo fleva anajuwa Sana.Song is dope tangu imetoka bado haijatoka kwenye playlist yangu.
 
Wimbo wa kawaida mno...
Jina lake na upinzani wake na Diamond ndio utakaofanya huo wimbo usikike..!
Diamond na Ali Kiba wameshaishiwa, nguvu kubwa mnayoipoteza kwa hawa jamaa mngeitumia kwa Marioo..!

Wacha wenge wewe... marioo ni msanii mzuri lakini si wakumfananisha na mkali wa hizi kazi Ali salehe kiba ... wacha kuaminisha watu ujinga.
UKIMSIKILIZA WEWE MARIOO INATOSHA.
 
Kusema kweli sikupanga kuandika chochote kuhusu misunderstanding iliyojitokeza kati ya Alikiba na Diamond lakini Katika hii super song aliyoitoa Jana,Khaaa nafsi imeshindwa kuvumilia.

Huyu jamaa acha aitwe King of Bongo fleva anajuwa Sana.Song is dope tangu imetoka bado haijatoka kwenye playlist yangu.
Sawasawa.
 
Back
Top Bottom