Wewe ambaye sio jobless unafanya nini kwenye huu uzi?Wasiokiwa na kazi za kufanya, jobles ,marioo,ving'asti na mashoga ndio hulala na kufikiria upuuzi kama huu wa kufananisha watu kila siku,
Kwanini usijilinganishe wewe na diamond kimafanikio ili upate hasira ya kutoboa....
Huu ni ushoga kama ushoga mwingine shubamitt
Mkuu fukuza huyo "Kibaka" hapo namba3 hastahiri kuwepo..pumbaf sn mwizi wa kazi za watu toa uyo!1.Ali kiba -mshumaa
2.harmonize-uno
3.daimond-baba lao
Wimbo wa kampeni za ccm huoBaba lao funga mwaka.
Hakuna aliyekulazimisha kijana,hauwezi kuulazimisha msukule kula matunda..!Wacha wenge wewe... marioo ni msanii mzuri lakini si wakumfananisha na mkali wa hizi kazi Ali salehe kiba ... wacha kuaminisha watu ujinga.
UKIMSIKILIZA WEWE MARIOO INATOSHA.
SawasawaMimi ni shabiki wa diamond ila mpaka sasa nimesikiliza mara nyingi zaidi wimbo wa mshumaa kuliko wa baba lao na mpaka sasa nasikiliza hapa.
Kwa kuhitimisha mshumaa ni kali zaidi.
Mkuu fukuza huyo "Kibaka" hapo namba3 hastahiri kuwepo..pumbaf sn mwizi wa kazi za watu toa uyo!
1.MSHUMAA-"THE KING HIMSEF"
2.UNO-"KONDEBOY"
3.SOAPY-"NAIRA MARLEY"
Hakuna aliyekulazimisha kijana,hauwezi kuulazimisha msukule kula matunda..!
Wewe endelea kumsikiliza mfalme wako, ila kwangu mimi ameshaishiwa, huu wimbo wake ni "takataka" kama "takataka" zake nyingine zilizopita, siwezi kuuweka kwenye device yangu, coz ili niiweke hii "takataka" ni lazima nichague wimbo wa kufuta na siwezi kufuta wimbo wowote kwasababu ya hii "takataka" , nimeshamchangia view kwa YouTube inatosha..!
Tusameheane tu..!!!
Hizo zote "takataka"
Naachaje kusikiliza nyimbo kama Ghetto love na Joro kwasababu ya hizo "takataka"?
Yaani huwezi ficha chuki zako kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna aliyekulazimisha kijana,hauwezi kuulazimisha msukule kula matunda..!
Wewe endelea kumsikiliza mfalme wako, ila kwangu mimi ameshaishiwa, huu wimbo wake ni "takataka" kama "takataka" zake nyingine zilizopita, siwezi kuuweka kwenye device yangu, coz ili niiweke hii "takataka" ni lazima nichague wimbo wa kufuta na siwezi kufuta wimbo wowote kwasababu ya hii "takataka" , nimeshamchangia view kwa YouTube inatosha..!
Tusameheane tu..!!!
Hao uliowataja ni watu gani..?Haya potea.... kasikilize hao wakina emanuel mbasha na mkewe
Curryyyyy for threeeeeeee baaaangHao uliowataja ni watu gani..?
Now niko nasikiliza albamu ya "Memories Do Not Open" kutoka kwao Chainsmokers nikimaliza kusikiliza hii albamu nitasikiliza albamu ya "Ascend" kutoka kwake Illenium...
Mkongwe, hizi "takataka" za Ali Kiba na Diamond na hao wengine ulionitajia hapo juu ninawaachia watu kama wewe..!