George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Kwamba ninawachukia Ali Kiba na Diamond..!?Yaani huwezi ficha chuki zako kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂😂Curryyyyy for threeeeeeee baaaang
Sipendi alikiba anavyoanzaga na "yoooooo"
Nimeupenda huo wimbo wake "ni mzuri"
japo msg yake sio ya kuwekewa hilo BEAT
beat limechangamka then MSG ya "simanzi"
Producer sijui aliwaza nini,any way mi sijui mziki na wala sio mtayarisha muziki
ila Beat hilo na msg ya wimbo HAPANAAAAA
wimbo mzuri lakini
Nyimbo zote ni nzuri kulingana na walengwa wa maudhui ya hizo nyimbo. Ukiona wimbo huuelewi ujue wewe sio targetAli kiba katoka wimbo,diamond na harmonize pia.Nani kapatia,Nani katoa kazi ya ovyo?
Alichosema jamaa ni ugly truth.Wewe ambaye sio jobless unafanya nini kwenye huu uzi?
Ali Kiba ana kipaji cha maana afu afake voice na anajiheshimu, sijutii kuwa shabiki mpk sasa...goma la mshumaa liko juu [emoji119]
Hata ngoma sina!! 😂 😂Pressure sina!
Injiniaaa....View attachment 1258345
Sio kweli, does he know me?Alichosema jamaa ni ugly truth.
Maandishi yako kwa asilimia fulani yanakutambulisha kuwa wewe ni mtu wa aina gani.Sio kweli, does he know me?
Aisee kaka naisikiliza hyo album mwez sasa siiachi, chainsmokers ni hatariiHao uliowataja ni watu gani..?
Now niko nasikiliza albamu ya "Memories Do Not Open" kutoka kwao Chainsmokers nikimaliza kusikiliza hii albamu nitasikiliza albamu ya "Ascend" kutoka kwake Illenium...
Mkongwe, hizi "takataka" za Ali Kiba na Diamond na hao wengine ulionitajia hapo juu ninawaachia watu kama wewe..!
Unajuaje leo nimeamua kurifresh tu akili yangu, by the way hii ni weekend tu.Maandishi yako kwa asilimia fulani yanakutambulisha kuwa wewe ni mtu wa aina gani.