Mshumaa vs kiuno vs baba lao

Mshumaa vs kiuno vs baba lao

Sipendi alikiba anavyoanzaga na "yoooooo"

Nimeupenda huo wimbo wake "ni mzuri"

japo msg yake sio ya kuwekewa hilo BEAT

beat limechangamka then MSG ya "simanzi"

Producer sijui aliwaza nini,any way mi sijui mziki na wala sio mtayarisha muziki

ila Beat hilo na msg ya wimbo HAPANAAAAA


wimbo mzuri lakini

Mziki hauna formula .... usitake unavyotaka wewe ndiyo iwe hivyo
 
Hao uliowataja ni watu gani..?
Now niko nasikiliza albamu ya "Memories Do Not Open" kutoka kwao Chainsmokers nikimaliza kusikiliza hii albamu nitasikiliza albamu ya "Ascend" kutoka kwake Illenium...
Mkongwe, hizi "takataka" za Ali Kiba na Diamond na hao wengine ulionitajia hapo juu ninawaachia watu kama wewe..!
Aisee kaka naisikiliza hyo album mwez sasa siiachi, chainsmokers ni hatarii
 
Ila nyimbo ya Ali Kiba inaongoza hapo tukipima objectively, nikienda kishabiki ya Mondi ipo juu, hata ya Konde boy ipo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom