Mshumaa vs kiuno vs baba lao

UNO imekaa njema,,,,,Wimbo wa DOMO unapelekwa na Promo tu.....Mie najua maneno ya DANGOTE BABA LAO basi yaani chorus tu asisahau kumpa Shout it out jamaa aliyemcopy.
 
Mimi ni shabiki wa diamond ila mpaka sasa nimesikiliza mara nyingi zaidi wimbo wa mshumaa kuliko wa baba lao na mpaka sasa nasikiliza hapa.
Kwa kuhitimisha mshumaa ni kali zaidi.
Kakojoe hatuna mashabki viazi
 
Hamna alichoimba
 
Mshumaa imesimama zaidi, nimegundua kuna faida kutoa nyimbo mara moja moja. Kiba kasema wimbo huu aliutunga pamoja na ule wa hadithi mwaka 2009 lakini ukiusikiliza ladha yake sio mchezo
Ahaaaaaah unatafuta pa kuhemea
 
UNO imekaa njema,,,,,Wimbo wa DOMO unapelekwa na Promo tu.....Mie najua maneno ya DANGOTE BABA LAO basi yaani chorus tu asisahau kumpa Shout it out jamaa aliyemcopy.
Kati ya uno na baba lao upi umepigiwa promo,acha bangi sema baba lao imewaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…