Mshumaa vs kiuno vs baba lao

Mshumaa vs kiuno vs baba lao

Mimi ni shabiki wa diamond ila mpaka sasa nimesikiliza mara nyingi zaidi wimbo wa mshumaa kuliko wa baba lao na mpaka sasa nasikiliza hapa.
Kwa kuhitimisha mshumaa ni kali zaidi.
Kakojoe hatuna mashabki viazi
 
Sipendi alikiba anavyoanzaga na "yoooooo"

Nimeupenda huo wimbo wake "ni mzuri"

japo msg yake sio ya kuwekewa hilo BEAT

beat limechangamka then MSG ya "simanzi"

Producer sijui aliwaza nini,any way mi sijui mziki na wala sio mtayarisha muziki

ila Beat hilo na msg ya wimbo HAPANAAAAA


wimbo mzuri lakini
Hamna alichoimba
 
Back
Top Bottom