Mshumaa vs kiuno vs baba lao

Trendingwise, diamond kafanikiwa kuwavuruga wenzake..imefika wakati mondi hata atoe wimbo mbaya, mkiwa mmetoa nyimbo pamoja tegemea yeye ndio kuongelewa sasa hivyo kukupoeza. Na yeye kalijua hili hivyo nyimbo zingine anatoa kuwavuruga tu wapinzani wake.
 
kunanyimbo moja ya kuruka nayo na kuna nyingine ya kutulia kwako unasikiliza.

Domo anafnya nyimbo kwa kutazama anataka nini kwa wakati huo. Babalao ilikuwa mahususi kwa kuruka nayo wasafi fastival dar.
 
mbona yope remix ya kuruka lakini ni nzuri? Ubaya wa wimbo haihusiani na issue ya nyimbo kupoza au ya kuruka ruka
 
Muziki sio kama mpira Simba na Yanga..anayetoa ngoma kali tumpe support wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…