Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Misukule wa WCB mnashida sana
Hawa misukule ya WCB
Ndio kama hiyo iko ccm, cdm, na makanisa ya wahuni
Tunapenda na kwenda kama nyumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misukule wa WCB mnashida sana
huyu wa kuitwa simba kalewa pepsi.
mbona yope remix ya kuruka lakini ni nzuri? Ubaya wa wimbo haihusiani na issue ya nyimbo kupoza au ya kuruka rukakunanyimbo moja ya kuruka nayo na kuna nyingine ya kutulia kwako unasikiliza.
Domo anafnya nyimbo kwa kutazama anataka nini kwa wakati huo. Babalao ilikuwa mahususi kwa kuruka nayo wasafi fastival dar.
Natamani mimi ndio ningekua AlikIla Ally kiba hapo tumboni kushuka mpk kiunoni kajengeka vzr sana lol
Lakini ndo yanayotambaHana jipya huyo Ndo Manyimbo yake siku izi, Ya ovyo ovyo tu.
Kakojoe ukalale fala mmoja wewembona yope remix ya kuruka lakini ni nzuri? Ubaya wa wimbo haihusiani na issue ya nyimbo kupoza au ya kuruka ruka
[emoji23][emoji23][emoji23]Amberlulu ndiyo kapatia..gigy money katoa ya ovyo..
Sasa baba lao nyimbo mbaya?mbona yope remix ya kuruka lakini ni nzuri? Ubaya wa wimbo haihusiani na issue ya nyimbo kupoza au ya kuruka ruka
Hii Ngoma ya kiba ni nzuri kwa kweli, inachezeka na imetungwa