Mshutuko wa moyo

Mshutuko wa moyo

manking

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
1,306
Reaction score
316
Wadau mm naomba msaada nina tatizo la kuwanashutka moyo kama mtu mweny wasiwasi hutokea kama sekunde 3 nakujirudiarudia na mgandamizo wa damu unakuwa 105/60-85. Tatizo langu ni nn na linawezaje kutatuliwa. Natanguliza shukran mnapotoa msaada kwangu
 
Mkuu nashukr, nitatatuaje?
ni tatizo la kisaikolojia na watu wengi hudhani wanamatatizo ya moyo kumbe wanalo hili. kwa kuanza nakushauri uingie google usearch anxiety disorder, panic disorder na panic attack ili ujiridhishe kama dalili zinaendana. ukiingia wikipedia itakuwa poa sana. ukijiridhisha mtafute mwanasaikolojia.
 
Asante mkuu nitafanya hivo.
 
kama inaambatana wasiwasi uwezekano kwamba ni anxiety disorder ni mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom