Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni tatizo la kisaikolojia na watu wengi hudhani wanamatatizo ya moyo kumbe wanalo hili. kwa kuanza nakushauri uingie google usearch anxiety disorder, panic disorder na panic attack ili ujiridhishe kama dalili zinaendana. ukiingia wikipedia itakuwa poa sana. ukijiridhisha mtafute mwanasaikolojia.Mkuu nashukr, nitatatuaje?
ni tatizo la kisaikolojia na watu wengi hudhani wanamatatizo ya moyo kumbe wanalo hili. kwa kuanza nakushauri uingie google usearch anxiety disorder, panic disorder na panic attack ili ujiridhishe kama dalili zinaendana. ukiingia wikipedia itakuwa poa sana. ukijiridhisha mtafute mwanasaikolojia.