Msiache kuiomba mizimu yenu, hii ndo njia rahisi ya kufanikisha mambo

Msiache kuiomba mizimu yenu, hii ndo njia rahisi ya kufanikisha mambo

Sio watu wote wanaomuamini Yesu wamefanikiwa, pia sio watu wote wanaoamini shetani wamefanikiwa, pia sio wote wanaoabudu mizimu wamefanikiwa na sio watu wote wasioabudu chochote wamefanikiwa na hawa watu ndio nyie mnavurugana na kupingana kwasababu kila mtu ana matokeo yake kwa kile anachokiamini iwe positive or negative..
Imani ni nguvu iliyojijenga ndani ya mtu kulingana na ufahamu wake kwakile anachokijua na kukifanyia kazi...
Kama ulimwamini Yesu ukapata matoke positive tulia hapohapo
Kama uliamini mizimu matokeo yakawa positive tulia hapo
Nakama uliamini shetani/uchawi na matokeo yakawa positive tulia hapo
Pia kama Huna unachikiamini na matokeo yako positive tulia hapo..
Swala la imani ni matokeo kama unamatokeo yako mazuri kwakile unachokiamini usikubali kuyumbishwa
 
Back
Top Bottom