Msiache kuiomba mizimu yenu, ndio njia rahisi ya kufanikisha mambo

Msiache kuiomba mizimu yenu, ndio njia rahisi ya kufanikisha mambo

Sio watu wote wanaomuamini Yesu wamefanikiwa, pia sio watu wote wanaoamini shetani wamefanikiwa, pia sio wote wanaoabudu mizimu wamefanikiwa na sio watu wote wasioabudu chochote wamefanikiwa na hawa watu ndio nyie mnavurugana na kupingana kwasababu kila mtu ana matokeo yake kwa kile anachokiamini iwe positive or negative..
Imani ni nguvu iliyojijenga ndani ya mtu kulingana na ufahamu wake kwakile anachokijua na kukifanyia kazi...
Kama ulimwamini Yesu ukapata matoke positive tulia hapohapo
Kama uliamini mizimu matokeo yakawa positive tulia hapo
Nakama uliamini shetani/uchawi na matokeo yakawa positive tulia hapo
Pia kama Huna unachikiamini na matokeo yako positive tulia hapo..
Swala la imani ni matokeo kama unamatokeo yako mazuri kwakile unachokiamini usikubali kuyumbishwa
 
Ok. Mimi kwa upana zaidi naona MIZIMU ni mikataba (maagano) waliyoingia mababu na majini. Na kwa kuwa mababu wenyewe washakufa na mkataba unaendelea kusoma. Majini yanaexecute yale ambayo yanatakiwa kufanyika. Mfano binaadam wasipotoa sadaka waliyokubaliana, wanapata madhara stahiki (penalty). So Mizimu ni mambo ya kujitakia yaliyosababishwa na tamaa na ujinga wa mababu.
Na ndio maana unakuta sio kila jamii ina hayo mambo ya mizimu. Kuna wengine hawakuingia hayo maagano. Ila kwa wale ambao waliingia ndio shida haziishi.
Mizimu sio majini nyie wajinga , ni roho za watu waliokufa ambao pengine hawakua watu wema duniani , kwa hio roho zao ni nzito au too denser zimeshindwa kupaa juu kwenda kwenye higher dimensional spiritual realm.

Kila mtu akifa muovu anakua mzimu , na anabako duniani kama kiumbe wa roho

Majini ni malaika waovu , viumbe wa moto wenye uwezo wa kubadilika maumbo
 
YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU

MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU

MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA

LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Yesu ni mavi anayebishana aje kwa hoja hapa
 
Huyu ni fala

Kama wana ushahisdi wa mizimu kusaidia kweli

Basi wafundishe watu ili wafadike pia

Ila sio kuongea ongea kwa sifa humu ili tuwaone ni mtajiri kumbe mafala tu hahah
Ila nyie mnaushahidi wa yesu kusaidia watu mliyoiweka wazi hasa Waafrika?
 
Msiache kuomba mizimu.

Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.

Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.

Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.

Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
Shida ni kwamba hata makaburi ya babu zetu yalipo hatujui. Alafu hata njia za kuiomba hiuo mizimu hatuzijui.

Hapo ndipo inapoanzia changamoto tuliyonayo
 
YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU

MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU

MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA

LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Kwani mizimu ni nini au nani?
Mizimu ni mababu na mabibi waliokufa zamani kwenye jamii au ukoo wenu.
Yesu, Muhammad na wengine mnao waomba wawaombee kwa Mungu hiyo ni mizimu ya jamii walikozaliwa.
Sasa inawezekana ukiomba mizimu hiyo unafanikiwa. Lakini pia ukiomba mizimu yenu unaweza kufanikiwa pia.
Kwani babu zenu waliomba mvua na mavuno wakafanikiwa kwa mujibu wa walivyo amini.
 
YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU

MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU

MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA

LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Yesu kasaidia vipi kumaliza umaskini na uvunjaji wa haki za binadamu barani Afrika?
 
Back
Top Bottom