Mizimu sio majini nyie wajinga , ni roho za watu waliokufa ambao pengine hawakua watu wema duniani , kwa hio roho zao ni nzito au too denser zimeshindwa kupaa juu kwenda kwenye higher dimensional spiritual realm.Ok. Mimi kwa upana zaidi naona MIZIMU ni mikataba (maagano) waliyoingia mababu na majini. Na kwa kuwa mababu wenyewe washakufa na mkataba unaendelea kusoma. Majini yanaexecute yale ambayo yanatakiwa kufanyika. Mfano binaadam wasipotoa sadaka waliyokubaliana, wanapata madhara stahiki (penalty). So Mizimu ni mambo ya kujitakia yaliyosababishwa na tamaa na ujinga wa mababu.
Na ndio maana unakuta sio kila jamii ina hayo mambo ya mizimu. Kuna wengine hawakuingia hayo maagano. Ila kwa wale ambao waliingia ndio shida haziishi.
Yesu ni mavi anayebishana aje kwa hoja hapaYESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Ila nyie mnaushahidi wa yesu kusaidia watu mliyoiweka wazi hasa Waafrika?Huyu ni fala
Kama wana ushahisdi wa mizimu kusaidia kweli
Basi wafundishe watu ili wafadike pia
Ila sio kuongea ongea kwa sifa humu ili tuwaone ni mtajiri kumbe mafala tu hahah
Andika kiswahili na wewe acha ujuhaSo Jesus Christ or prophet Muhammad these guys were rich?
If no why most of people they worship them ?
Shida ni kwamba hata makaburi ya babu zetu yalipo hatujui. Alafu hata njia za kuiomba hiuo mizimu hatuzijui.Msiache kuomba mizimu.
Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.
Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.
Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.
Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
Kwani mizimu ni nini au nani?YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Yesu kasaidia vipi kumaliza umaskini na uvunjaji wa haki za binadamu barani Afrika?YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Mtazijuaje hizo njia wakati hamtaki kuzijua?Shida ni kwamba hata makaburi ya babu zetu yalipo hatujui. Alafu hata njia za kuiomba hiuo mizimu hatuzijui.
Hapo ndipo inapoanzia changamoto tuliyonayo