Musa Nyambo
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 170
- 23
polen sana kaz yake mola haina makosa
jamani kuna msiba wa mhadhiri muhimu sana ktk chuo cha SMMUCO TAWI LA MWIKA. hivyo masomo yameahirishwa ili Wanachuo waomboleze. msiba ulitokea jana tarehe 07/12/2014 mazishi yanafanyika leo saa kumi nyumbani kwake kigamboni.
mkuu hujasomeka ungetakiwa ueleze ni nani aliyefariki na nani chanzo cha msiba then uelezee alikuwa anafundisha nini na mazishi yatafanyika wapi kigamboni ya dar au dodoma.
ok
RIP