Musa Nyambo
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 170
- 23
jamani kuna msiba wa mhadhiri muhimu sana ktk chuo cha SMMUCO TAWI LA MWIKA. hivyo masomo yameahirishwa ili Wanachuo waomboleze. msiba ulitokea jana tarehe 07/12/2014 mazishi yanafanyika leo saa kumi nyumbani kwake kigamboni.