tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Nikikumbuka kauli zake za kutufanya tuone tunaweza,,
Kauli zake zenye maashirio kwamba mkuu kaongea,
Kauli zake zenye kutaka tumuombe na kumtumainia Mungu,
Kauli za kututaka tuchape kazi kwa bidii,,, zilinipa hamasa sana sana ya kujituma na miaka hii MINNE kwangu imekuwa bora zaidi na zaidi
Kauli zilizojaa viashiria vyenye uzalendo na mapenzi kwa Taifa lake
Ama kwa hakika Tutakukumbuka sana kipenzi chetu Hayati Dk John Magufuli