Bado wewe,usishngilie ushindi mapema.Labda ulionifurahisha sana sana, natamani hata angekufa tena.
Bia za matukio hizi huwa sio nzuri,ulitoka salama kweli??Nisiwe muongo msiba niliokunywa beer ni wa yule bwana jiwe la plastic. Apumzike sawia na aliyoyafanya.
2021???!!Cha Mkapa na cha Kobe.. still nauhuzinika
Lengo lako ni magufuli huna jipyaTokea mwaka uanze ndo kwanza tuko mwezi wa 7 ila tokea January mpk sasa kuna misiba mingi imetokea. Kwa upande wako taarifa za kifo cha nani mtu maarufu zilikuhuzunisha na kukusikitishasana huu mwaka 2021?
Sema kipenz chako kubwa jinga wwNikikumbuka kauli zake za kutufanya tuone tunaweza,,
Kauli zake zenye maashirio kwamba mkuu kaongea,
Kauli zake zenye kutaka tumuombe na kumtumainia Mungu,
Kauli za kututaka tuchape kazi kwa bidii,,, zilinipa hamasa sana sana ya kujituma na miaka hii MINNE kwangu imekuwa bora zaidi na zaidi
Kauli zilizojaa viashiria vyenye uzalendo na mapenzi kwa Taifa lake
Ama kwa hakika Tutakukumbuka sana kipenzi chetu Hayati Dk John Magufuli
Pole. Bado unatekeleza mambo aliyokuwa anasema au umevunjika moyoNikikumbuka kauli zake za kutufanya tuone tunaweza,,
Kauli zake zenye maashirio kwamba mkuu kaongea,
Kauli zake zenye kutaka tumuombe na kumtumainia Mungu,
Kauli za kututaka tuchape kazi kwa bidii,,, zilinipa hamasa sana sana ya kujituma na miaka hii MINNE kwangu imekuwa bora zaidi na zaidi
Kauli zilizojaa viashiria vyenye uzalendo na mapenzi kwa Taifa lake
Ama kwa hakika Tutakukumbuka sana kipenzi chetu Hayati Dk John Magufuli
Pole sana. Mungu akutie nguvuMy dad.
Astarehe kwa amani Mzee MdachiMC Mkongwe Mecky Mdachi huu msiba uliniumiza sana 2021
Hata mimi nimeumia na huu msiba. Nilikuwa simjui nimemfatilia leo youtube baada ya kuona taarifa ya kifo chake. Baada ya kuangalia videos zake nimejisemea mwenyewe kuanzia leo naacha kulalamika sana. Alikuwa na moyo wa kishujaa. RIPMalcom mtoto wa Masoud Kipanya.