KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O. Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi...