Msiba kwa wapenzi wa sinema

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
Ni kifo cha mtafsiri wa filamu DERICK MUKANDARA RUFUFU "rufufu"
 
Dah pigo Kubwa kwetu sisi watoto wa mabanda ya video
 
OMG namjua huyu mzee, nilishaendaga kwake kule Vingunguti na rafiki zangu fulani toka DW-TV ya Germany kuangalia namna anavofanya shughuli zake...RIP Lufufu!

Ila anae mwanae ambae anafuata nyayo zake yupo maeneo ya Mtoni Mtongani, sina uhakika km amehamisha shughuli zake kule
 
Ooooh it is very sad, nakumbuka mbaaali tangu enzi hizo nikiwa bukoba town. Na jamaa mmoja alikuwa mnoko anaanza kwa kuweka taarifa ya habari nayo anatoka hela nadhani ilikuwa miambili hivi, miaka ya tisini na nne na kuendelea. Rip rufufu tutakukumbuka sana na neno lake maarufu akisema anammwagia mwaaani, inasikitisha lkn sote ni njia yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…