Ooooh it is very sad, nakumbuka mbaaali tangu enzi hizo nikiwa bukoba town. Na jamaa mmoja alikuwa mnoko anaanza kwa kuweka taarifa ya habari nayo anatoka hela nadhani ilikuwa miambili hivi, miaka ya tisini na nne na kuendelea. Rip rufufu tutakukumbuka sana na neno lake maarufu akisema anammwagia mwaaani, inasikitisha lkn sote ni njia yetu.