Msiba Mkubwa members wa Calabash Pub

Msiba Mkubwa members wa Calabash Pub

The Inquisitive

Senior Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
177
Reaction score
29
Mmiliki wa Calabash Pub, Mazembe Nyerere amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Msiba uko nyumbani kwake Upanga.

RIP Mazembe.
 
RIP Mazembe!
Poleni familia, ndugu, jamaa na marafiki
 
Pole sana Familia. Baada ya Kutoka Loliondo alipata nafuu sana. Kazi ya Mungu haina makosa
 
Navyojua mimi yule bwana anaitwa Milton sasa hii Mazembe sijui imekaaje!!!
 

avatar20103_19.gif


RIP bwana Mazembe.......
Preta, images zako za chupi na sehemu nyeti ni distraction misibani.

Anyhow, naona dawa za Liliondo zimefeli, wafiwa poleni.
 
Back
Top Bottom