Msiba Mkubwa members wa Calabash Pub

Msiba Mkubwa members wa Calabash Pub

Misa ya kumuaga marehemu pamoja na heshima za mwisho itafanyika kanisa Katoliki la Mtakatifu Immaculata Upanga kuanzia majira ya saa saba (7) mchana wa Alhamisi, 19/05/2011. Mwili unasafirishwa kwenda Musoma kwa mazishi kesho. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu Mazembe Joseph Nyerere
 
Poleni sanaa wafiwaa tuko pamoja nanyi ktk kipindi hiki kigumu
 
RIP Mpiganaji Mazembe.....mmiilki ni kaka yake MILTON wote watoto wa marehemu Joseph Nyerere mdogo wa Mwalimu....Duh tutakosa Gurumeti wikiendi hii....PARACHICHI....watu mnamjua mpaka Diana!kuna na Mwajey pia NYANI NGABU
 
Nafikiri ni Callabash pub ya Dar poleni, manake Mwanza napo kuna Callabash.
 
Kwani NYANI NGABU hamjui MWAJEY??? Maana nadhani shift moja wale na DIANA
 
Oh yeah....Diana anafanya kazi ile ya pale Mwenge. Nimeharibu sana pale....teh teh teh

Nyani Ngabu - Acha utani bana! Unanifanya niaze kufikiria kwenda kwa Babu Loliondo..

RIP - Milton "Mazembe" Nyerere
 
Preta, images zako za chupi na sehemu nyeti ni distraction misibani.

Anyhow, naona dawa za Liliondo zimefeli, wafiwa poleni.
Teh teh teh heeeee hapo kwenye nyekundu loo paminivunja mbavu
 
Back
Top Bottom