The Inquisitive
Senior Member
- Oct 27, 2010
- 177
- 29
RIP Mazembe
Mmiliki wa Calabash Pub, Mazembe Nyerere amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Msiba uko nyumbani kwake Upanga.
RIP Mazembe.
Mmiliki wa Calabash Pub, Mazembe Nyerere amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Msiba uko nyumbani kwake Upanga.
RIP Mazembe.
Preta, images zako za chupi na sehemu nyeti ni distraction misibani.
RIP bwana Mazembe.......