Msiba mkubwa


BLUE BALAA, pole sana! Mungu aiweke mahali pema roha yake. Amina!
 

Pole sana Mwenyezi Mungu akujalie moyo wa subira. May her soul RIP.
 
Dah pole xna bro,mungu akuzndshie ngvu ktka kipndi hki kigum.
 
MUNGU mwenye uwezo wa yote akujaze rehema zake za pekee ktk wakati huu mgumu kibinadamu BLUE BALAA!
MAMA YETU APUMZIKE KWA AMANI YA BWANA NA MWANGA WA MILELE AMWANGAZIE!

NB:
BLUE BALAA! Msiba utakuwa wapi Kamanda?
Tujuze usijali kwn Member wa A town tunapendana pale kwenye Raha & Shida,naomba utujuze mahala ulipo na bila ya kujali mazingira iwe ya umbali we usijali kwani makamanda tutatua tu!
 
Pole sana Mkuu na asante kwa ushauri. Si wazazi tu kupima afya ila hata watoto nao si mbaya mara moja moja kwa miaka kama 2-4.
 
Pole sana!Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu!
 
Pole sana ndugu yangu.. Tunashukuru kwa ushauri pia.
 
Pole sana ndugu. Mungu awajalie neema na amani yake wakati huu mgumu. Dah!
 
Mungu ampe pumziko la milele huko aendako...Amen!!
 
Pole mkuu, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa kuondokewa na mama yako mzazi...........
 
Pole sana ndugu, kwa msiba mzito, Mungu akupe nguvu zaidi ya kuendelea.
 
Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu hasa katika wakati huu mgumu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…