Msiba mkubwa

Msiba mkubwa

Pole kamanda, Mungu akupe moyo mkuu kipindi hiki kigumu ulichompoteza mama.
 
pole sana mpiganaji Mungu akutie nguvu
 
Pole Sana blue balaa. Tunamuombea pumziko la Amani na Mwenyezi Mungu awape faraja...
 
Pole sana mkuu kwa kuondokewa na mama.Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kugumu kwako na familia yako.
Na asante sana kwa ushauriwako pia kwani hii issue ya kucheki afya zetu hatuna kabisa wengi wetu.
 
Mungu afute machozi katika macho yenu, awape nguvu na moyo mkuu. Basi msihuzunike kama wasio na imani ya maisha ya umilele.
Mungu ampunzishe marehemu ktk raha ya ufalme wake, AMEN!
 
Poleni sana.Hilo la kupima afya ni la msingi sana sio kwa wazazi tu bali kila mtu.Wabongo hatunaga hiyo tabia
 
Nimefiwa na Mama Yangu Mzazi Hospitali ya Selian Mjini Arusha.
Alikuwa na tatizo ya maji kwenye mapafu. Nashauri tuwe tunapima afya zetu kwani tatizo kama hili likijulikana mapema linatibika. Kama bado una wazazi wanakutegemea wasaidie kuwacheki afya zao kwani unaweza sogeza umri wao mbele

Sisi lilijulikana late so it was too late.

Asanteni sana.
Pole sana..

Inaitwa "Pleural Effusion"

Ningependa kufahamu umri wa marehemu na je ameugua kwa muda gani?
 
Jamani BB pole sana, pumzika kwa amani mama
 
...Nashauri tuwe tunapima afya zetu ... kuwacheki afya zao kwani unaweza sogeza umri wao mbele

Sisi lilijulikana late so it was too late.
Nyinyi ilijulikana late au nyinyi mlicheki late? Follow ur own advice. Anyhow, hutakiwi kuwa JF kwenye jukwaa la mapenzi na urafiki saa hizi mtu umefiwa na mama yako.
 
So sorry pal, may ur mom rest in eternal peace
 
Nimefiwa na Mama Yangu Mzazi Hospitali ya Selian Mjini Arusha.

Alikuwa na tatizo ya maji kwenye mapafu. Nashauri tuwe tunapima afya zetu kwani tatizo kama hili likijulikana mapema linatibika. Kama bado una wazazi wanakutegemea wasaidie kuwacheki afya zao kwani unaweza sogeza umri wao mbele

Sisi lilijulikana late so it was too late.

Asanteni sana.
k

Pole sana kaka.
 
Pole sana kamanda, masiba upo wapi thud urine. Toa namba za simu tutume rambirambi kamanda.
 
May her soul rest in peace........AMIN.
Poleni sana wafiwa.....Mwenyezi Mungu awatie nguvu.
 
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!
Pole sana Mkuu! Tuko pamoja, tuzidi kuombeana!
 
Back
Top Bottom