Jamani wanajf, member mwenzetu amefiwa na mama yake mdogo na sasa yuko safarini kwenda msibani Moshi. Tumuombee ktk sala zetu afike salama na marehemu apumzike mahali pema peponi, Ameen. Sisi tulimpenda ila Bwana amempenda zaidi, jina lake lihimidiwe.
Kwa members walioko maeneo ya Arusha na Moshi mnaweza kuungana na mwenzetu physically.
Tunashukuru kwa taarifa,
Mtambuzi pole sana. Mungu akupe ujasiri.
Hebu wasiliana na Mtambuzi akujuze mambo ya msingi yafuatayo;
1.0 Mazishi yatafanyika lini.
2.0 Mazishi yatafanyika wapi.
Natumaini baada ya hapo watu tunaweza kujipanga kuona jinsi ya kujumuika na mwenzetu Mtambuzi.
Jamani wanajf, member mwenzetu amefiwa na mama yake mdogo na sasa yuko safarini kwenda msibani Moshi. Tumuombee ktk sala zetu afike salama na marehemu apumzike mahali pema peponi, Ameen. Sisi tulimpenda ila Bwana amempenda zaidi, jina lake lihimidiwe.
Kwa members walioko maeneo ya Arusha na Moshi mnaweza kuungana na mwenzetu physically.
Mazishi yatafanyika SAME (milimani) na mazishi ni kesho.
Dah! Sipo Moshi kwa sasa mkuu. Nisingekosa kumpa kampani mzee mwenzangu Mtambuzi. Ninaamini atamaliza salama.usiniambie mtambuzi ni mchaga!! pole mkuu,jaribu kuonana na rejao huko