Msiba: Mtambuzi amefiwa na Mama yake mdogo!

Msiba: Mtambuzi amefiwa na Mama yake mdogo!

Inna li Lllahi wa Inna iLlahi Rajiun.

Poleni sana wafiwa, kila kifo ni mawaidha kwa tuliobaki, tuache mabaya tufanye mema, sote tunaelekea hukohuko na hakuna ataebaki. Tuzidishe kumcha Mungu na tuzidishe mambo ya kheri, tuwache nyuma sifa na mambo mema.
 
Poleni Sana Mtambuzi, Mungu wetu awatangulie katika shughuli nzima na awape faraja katika kipindi hichi kigumu
 
dah...pole sana mkuu..ndo maisha haya ...sote ni wapitaji tu hapa duniani..!!
 
pole....mtambuzi. tushukuru mungu mama ameona maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, anaweza akawa balozi mzuri kwa hayati mwl.nyerere juu ya watu walivyotumia mabilioni ya hela kwenye sikkuu hyo.
 
Mungu awafikishe salama huko milimani kwao,na pia ampumzishe mama mdogo
sehemu nzuri huko peponi ,Amen
 
Kwake ni marejeo ya wote....tuwaombee waliotangulia na kujiombea sisi pia. Mungu awape faraja na nguvu wafiwa....ni kipindi kigumu
 
Pole sana Mtambuzi pamoja na familia. Mungu akupeni uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
RIP Mama Mdogo.
 
Pole Mtambuzi kwa msiba.Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi
 
RIP mama yetu.
Pole sana ndugu yangu,be strong katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom