Msiba: Mtambuzi amefiwa na Mama yake mdogo!

Pole Sana Mtambuzi kwa msiba wa Mama yako Mdogo mwenyezi Mungu akujalie nguvu..
 
Pole sana Mtambuzi kwa msiba mkubwa.
 
Pole sana mkuu Mtambuzi. Mungu akupe nguvu ya kuvumilia msiba huu mkubwa. Pia namuombea mama apumzishwe mahali pema, Amina
 
Pole kwa mtambuzi, ndugu, jamaa na marafiki wote..



RIP Mama mdogo wa mtambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…