Inna li Lllahi wa Inna iLlahi Rajiun.
Poleni sana wafiwa, kila kifo ni mawaidha kwa tuliobaki, tuache mabaya tufanye mema, sote tunaelekea hukohuko na hakuna ataebaki. Tuzidishe kumcha Mungu na tuzidishe mambo ya kheri, tuwache nyuma sifa na mambo mema.