Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
7,076
Reaction score
2,457
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.

Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Baba Pearl...
 
Pole Pearl na wafiwa wengine wote.Mungu ampumzishe mzee mahali pema peponi na awape nyie faraja tele.Poleni sana.
 
Pole sana my dear Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Pearl, na Mungu ailaze roho ya baba mahali pema peponi.......amen.
 
Pole kwa familia nzima - Strong woman, steady arm..........
 
Pole sana Pearl, Mungu akupe faraja wewe pamoja na familia yako, may his soul rest in eternal peace.
Amen!!
 
Pole sana Pearl,

May God the Father, the Son and Holly Spirit keep you all.
 
Pearl sina maneno ya kusema zaidi ya kuwatakieni huruma ya mwenyezi Mungu, awape nguvu na uvumilivu wa kuvumilia msiba huu mzito wa baba yetu. Nawatakia kila la kheri katika wakati huu mgumu mvuke salama.
My his soul rest in peace.
 
Oooh My . . . . .

RIP Baba Pearl . . . .

Mungu awafariji sana Wafiwa wote na kuwatia nguvu.
 
Anayejua masiba uliko na kama wa JF tunafanya nini kwa mwanajamii Mwenzetu?

RIP Baba wa Mwenzetu Pearl
 
Mpendwa P, pole sana. Mungu akupe nguvu wewe na ndugu wote muweze kuukabili huu msiba mkubwa wa kumpoteza Baba.

Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu ipumzike kwa amani...Amina!
 
Anayejua masiba uliko na kama wa JF tunafanya nini kwa mwanajamii Mwenzetu?

RIP Baba wa Mwenzetu Pearl

Baba amefia nje ya nchi na kwahiyo Pearl anafanya maandalizi ya kusafiri.. Na hii inahusika na kutafuta VISA na Air Ticket... And if all goes as she has planned atasafiri leo usiku.
 
Anayejua masiba uliko na kama wa JF tunafanya nini kwa mwanajamii Mwenzetu?

RIP Baba wa Mwenzetu Pearl

Exactly as JF members are all over Tanzania and beyond. Tunaweza kuwakilishwa ama kushiriki pia kama tuko karibu.
 
Back
Top Bottom