Alikuwa si baba yako tu Pearl ila ni baba yetu kwani watanzania wote tunapendana sana, Alale salama Baba yetu Mpendwa na Pearl be strong kwani katangulia na sisi tu nyuma yake daima tutakutana na baba yetu tukiwa na furaha tele maana tutakuwa tumemmiss kwa sana tu....
Pole sana na msiba mzito, binadamu wote tuliozaliwa na mwanamke siku zetu za kuishi ni chache nazo zimejaa mabonde na milima, bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. RIP baba Pearl