Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.

Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Baba Pearl...

Asante kwa taarifa, Mpepole sana!
 
Kyabushaija,wakola kutubikila.
RIP Baba Pearl,tangulia Baba,wote ni waja wake.
 
......Pole sana Pearl, Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe.
 
I hope ur stronger than this mr Pearl, may God give u much hopes and gv u strength to overcome this stressful moment.
 
Alikuwa si baba yako tu Pearl ila ni baba yetu kwani watanzania wote tunapendana sana, Alale salama Baba yetu Mpendwa na Pearl be strong kwani katangulia na sisi tu nyuma yake daima tutakutana na baba yetu tukiwa na furaha tele maana tutakuwa tumemmiss kwa sana tu....
 
Pole sana Pearl
Mungu ilaze roho ya Baba yako mahali pema peponi. AMINA
 
mbele yake nyuma yetu,2ko pamoja nao ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote
 
pole sana mpendwa......... Mungu wa upendo akufariji ...................

RIP baba mpendwa
 
Pole sana, mwenyezi awape ustahimilivu katika wakati huu mgumu sana.
Mzee apunzike kwa amani.
 
Mshukuru Mungu. Atakupa nguvu ya kustahimili katika kipind hiki cha majonzi.
 
Pole sana Pearl and wafiwa wote. Mungu aendelee kuwatia nguvu na kuwapa faraja kuu.
 
Pole sana na msiba mzito, binadamu wote tuliozaliwa na mwanamke siku zetu za kuishi ni chache nazo zimejaa mabonde na milima, bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. RIP baba Pearl
 
Hivi huwa hakuna njia ya kuchangiana misiba japo hata kidogo kuonyesha kuwa tunajali?
 
Back
Top Bottom