Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.
Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P Baba Pearl...
Nashindwa niwashukuru vipi kwa sala na mambo yoooote mema ktk kipindi hiki kigum kwa mm na familia kwa ujumla!, Pia samahani sana maana taharifa au mawasiliano hayakuwa vizuri sana,maana msiba ulitokea sa 6.30 mchana Dubai na kwa imani/dini ya baba ilikuwa lazima apumzishwe /azikwe siku ile ile,lkn nashukuru Mungu waliweza kutusubiri mimi na mama hivyo basi ilibidi tuhangaikie tiken na visa kwa masaa yale machache tuliyopewa,ol in ol maziko yalienda vizuri na tumerudi salama,Asanteni kwa ushirikianao na upendo wenu kama familia moja ya JF,Najua sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi,Nawapenda sana na daima mko ktk maombi yangu.
Good to have you back Pearl, i know its not the same anymore ila life has to go on natumaini mzee amepumzika kwa amani huko alikoNashindwa niwashukuru vipi kwa sala na mambo yoooote mema ktk kipindi hiki kigum kwa mm na familia kwa ujumla!, Pia samahani sana maana taharifa au mawasiliano hayakuwa vizuri sana,maana msiba ulitokea sa 6.30 mchana Dubai na kwa imani/dini ya baba ilikuwa lazima apumzishwe /azikwe siku ile ile,lkn nashukuru Mungu waliweza kutusubiri mimi na mama hivyo basi ilibidi tuhangaikie tiken na visa kwa masaa yale machache tuliyopewa,ol in ol maziko yalienda vizuri na tumerudi salama,Asanteni kwa ushirikianao na upendo wenu kama familia moja ya JF,Najua sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi,Nawapenda sana na daima mko ktk maombi yangu.
Good to have u back pearl....pole kwa misukosuko yote (kumpoteza baba na kusafiri ghafla)....
Maisha yaendelee....japo sio kama zamani...!
Good to have you back Pearl, i know its not the same anymore ila life has to go on natumaini mzee amepumzika kwa amani huko aliko
GLORY TO GOD