Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Pole sana my dear Pearl,
Sorry to hear about the loss of your father.My heartfelt condolences to you and your family.I pray for his soul to rest in the bliss of paradise
I pray to the Almighty Lord to give you patience, strength and support.

"Surely, Allah alone grants patience . Return to Allah alone and flee towards Him only in times of difficulty His gaze is set on you (and He does not forsake you).

May his Gentle Soul Rest In peace,Amen.Tuko pamoja Pearl!
 
Nashindwa niwashukuru vipi kwa sala na mambo yoooote mema ktk kipindi hiki kigum kwa mm na familia kwa ujumla!, Pia samahani sana maana taharifa au mawasiliano hayakuwa vizuri sana,maana msiba ulitokea sa 6.30 mchana Dubai na kwa imani/dini ya baba ilikuwa lazima apumzishwe /azikwe siku ile ile,lkn nashukuru Mungu waliweza kutusubiri mimi na mama hivyo basi ilibidi tuhangaikie tiken na visa kwa masaa yale machache tuliyopewa,ol in ol maziko yalienda vizuri na tumerudi salama,Asanteni kwa ushirikianao na upendo wenu kama familia moja ya JF,Najua sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi,Nawapenda sana na daima mko ktk maombi yangu.
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.

Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Baba Pearl...
 
pole pearl...mungu kampenda zaidi:rip:BABA
 
Nashindwa niwashukuru vipi kwa sala na mambo yoooote mema ktk kipindi hiki kigum kwa mm na familia kwa ujumla!, Pia samahani sana maana taharifa au mawasiliano hayakuwa vizuri sana,maana msiba ulitokea sa 6.30 mchana Dubai na kwa imani/dini ya baba ilikuwa lazima apumzishwe /azikwe siku ile ile,lkn nashukuru Mungu waliweza kutusubiri mimi na mama hivyo basi ilibidi tuhangaikie tiken na visa kwa masaa yale machache tuliyopewa,ol in ol maziko yalienda vizuri na tumerudi salama,Asanteni kwa ushirikianao na upendo wenu kama familia moja ya JF,Najua sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi,Nawapenda sana na daima mko ktk maombi yangu.

Good to have u back pearl....pole kwa misukosuko yote (kumpoteza baba na kusafiri ghafla)....
Maisha yaendelee....japo sio kama zamani...!
 
Good to have you back Pearl, i know its not the same anymore ila life has to go on natumaini mzee amepumzika kwa amani huko aliko

GLORY TO GOD
 
yap life has to move on if your moving to a direction without a conna,then knw thats not the rite path,thx 4 everything
Good to have u back pearl....pole kwa misukosuko yote (kumpoteza baba na kusafiri ghafla)....
Maisha yaendelee....japo sio kama zamani...!
 
Nashindwa niwashukuru vipi kwa sala na mambo yoooote mema ktk kipindi hiki kigum kwa mm na familia kwa ujumla!, Pia samahani sana maana taharifa au mawasiliano hayakuwa vizuri sana,maana msiba ulitokea sa 6.30 mchana Dubai na kwa imani/dini ya baba ilikuwa lazima apumzishwe /azikwe siku ile ile,lkn nashukuru Mungu waliweza kutusubiri mimi na mama hivyo basi ilibidi tuhangaikie tiken na visa kwa masaa yale machache tuliyopewa,ol in ol maziko yalienda vizuri na tumerudi salama,Asanteni kwa ushirikianao na upendo wenu kama familia moja ya JF,Najua sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi,Nawapenda sana na daima mko ktk maombi yangu.

Mungu akuzidishie nguvu ktk maisha yako yote yaliyobakia bila Baba
 
Nashindwa niwashukuru vipi kwa sala na mambo yoooote mema ktk kipindi hiki kigum kwa mm na familia kwa ujumla!, Pia samahani sana maana taharifa au mawasiliano hayakuwa vizuri sana,maana msiba ulitokea sa 6.30 mchana Dubai na kwa imani/dini ya baba ilikuwa lazima apumzishwe /azikwe siku ile ile,lkn nashukuru Mungu waliweza kutusubiri mimi na mama hivyo basi ilibidi tuhangaikie tiken na visa kwa masaa yale machache tuliyopewa,ol in ol maziko yalienda vizuri na tumerudi salama,Asanteni kwa ushirikianao na upendo wenu kama familia moja ya JF,Najua sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi,Nawapenda sana na daima mko ktk maombi yangu.

pole mamii, mungu akupe nguvu katika huu wakati mgumu ulionao.
 
pole sana mpendwa kwa msiba na shughuli nzima iliyotokana na msiba huu mchungu. Mungu wetu ni mwema sana na awe pamoja nawe siku zote kukupa faraja yake ya kweli
 
Pole sana Pearl, Mwenyezi Mungu awape uvumilivu na amani ndani ya nafsi zenu.
 
Pole sana Pearl Mungu awapeni subira na ujasiri wafiwa.
Kwa rehemazake mungu amuweke mahalipema peponi Amin
 
Nashindwa niwashukuru vipi kwa sala na mambo yoooote mema ktk kipindi hiki kigum kwa mm na familia kwa ujumla!, Pia samahani sana maana taharifa au mawasiliano hayakuwa vizuri sana,maana msiba ulitokea sa 6.30 mchana Dubai na kwa imani/dini ya baba ilikuwa lazima apumzishwe /azikwe siku ile ile,lkn nashukuru Mungu waliweza kutusubiri mimi na mama hivyo basi ilibidi tuhangaikie tiken na visa kwa masaa yale machache tuliyopewa,ol in ol maziko yalienda vizuri na tumerudi salama,Asanteni kwa ushirikianao na upendo wenu kama familia moja ya JF,Najua sisi tulimpenda ila Mungu alimpenda zaidi,Nawapenda sana na daima mko ktk maombi yangu.

Pole sana, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
nashukuru kukuona umerudi tena jamvini............... namuomba Mungu akutie nguvu...........

amani iwe na moyo wako.............. kazi ya Bwana haina makosa..............
barikiwa sana mpenzi..............
 
Roho ya marehemu ipate neema kwa Mungu ipumzike kwa amani...Amina.*3.

Pearl pole dear sister, ni njia yetu wote haliepukiki hilo. Lets try constructing legacy which wll live even after us.
 
Mungu akutie nguvu wewe pamoja na wote mliopo huko msimame imara kat.ka kipindi chote cha hudhuni. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
 
Pole sana Pearl. Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako.
 
Back
Top Bottom