Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Nifikishie salaam zangu, Mpe pole sana.
 
Pearl, naishiwa na kauli.
Matatizo kama haya yanaumiza sana, na kufiwa ni jaribu la juu sana ktk maisha ya mwanadamu.
POLE SANA PEARL, NA Mungu wa MBINGUNI ndiye mfariji wa kweli.
Pole tena
 
Pole sana mpendwa
Mungu apate kuonekana kwenye familia yenu haswa katika kipindi hiki kigumu
Nawatakia safari njema Mungu awatangulie
 
Pole sana Pearl kwa msiba mkubwa uliowafika wa kuondokewa na Baba yenu. Namuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na faraja kipindi hiki kigumu kwenu na pia ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN.


966.jpg
 
POLE SANA PEARL,
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA.
RIP Baba PEAL.
 
Pearl........Mungu akupeni faraja wewe na wote mlioathiriwa kwa kumpoteaza Baba yenu, Yeye ampenda zaidi hata akaona yafaaa amtwae sasa; Rehema za Baba wa mbinguni ziwe pamoja nanyi wakati huu mgumu! Amina
 
OMG!

Pole sana Pearl my dear. Mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

Mungu amlaze mahali pema peponi mzee wetu.
 
Pole sana Pearl,

Mungu awajalie moyo wa ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
aww dear!pole sana,,,nakuombea faraja na mungu akutie nguvu
 
RIP baba Pearl!

Pole sana Pearl, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Dunia ni mapito, yeye katangulia sisi tuko nyuma yake

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya merehemu pema. AMINA

Pole sana my dear!Mwenyezi Mungu awe mfariji kwako na familia yote.
 
pole sana mpendwa, ulimpenda sana lakini Mungu ALIMPENDA ZAID, MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA MEMA PEPONI
 
Pole mno Pearl
May his soul R.I.P. Amen
Mungu alimpenda zaidi.
 
Mpe pole mdau! Nasi tunamuweke ktk maombi apate nguvu ya kukabiliana msiba huo wa mzazi wake. Bwana ametoa bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe! Amen.
 
Oooh My God!
Mungu akupe nguvu na uvumilivu wa kukabiliana na hili.
Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
 
Back
Top Bottom