Msiba sio wao, ajabu ni kwamba, wao ndio vilio vimewatawala

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu

Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,

Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁

Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
 
Huu mtego walioutega Chadema utanasa wengi sana,
1.G55 waaamue pa kwenda,ama wabaki kupambania no reform no election
2.Kujua uelekeo rasmi wa Covid 19 baada ya Chadema kufunga dirisha la kugombea
3.Rencilition ya mama kuprove failure,Reforms kumuwakia moto na resilience kumshinda kwa kuweka watu ndani,hapa CCM haichomoki
4.Kujua ACT wazalendo wanapigania demokrasia ipi kupitia kampeni yao ya 'Linda demokrasia
 
Namba 4 itatuacha hoi
 
Mkuu,Maua yako hayo👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu

Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,

Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁

Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Aha ha ha Chadema akili kubwa CCM matumbo Joto
 
Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu

Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,

Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁

Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Msiba wa jirani ni msiba wako Tunashiriki kwenye mapishi Hadi kuzika
 
Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu

Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,

Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁

Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Kwanza nianza na kucheka...😀

Vyama 18 vilivyoridhia kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025, ni AAFP, ACT WAZALENDO, ADA-TADEA, ADC, CCK, CCM, CHAUMA, CUF, MAKINI, DP, NCCR-Mageuzi, NLD, NRA, SAU, TLP, UDP, UMD na UPDP.

Ni chadema pekee ndio walio kataa, na ndio chama pekee kinachojadiliwa zaidi na ccm na takataka zake!!
Chama hakina jeshi, mwenyekiti yuko ndani, chama hakina wanachama wengi, hakina fedha za kutosha, hakuna mafuriko ya watu kwenye mikutano yao. LAKINI NDIO WANAO JADILIWA NA KILA MTU!!! CHADEMA NI WAKUBWA KULIKO UNAVYO FIKIRIA
 
Nyumbu wanahangaika, nyuzi wanaanzisha wao lkn wanawasingizia wengine.
 
Kwanza nianza na kucheka...😀

Vyama 18 vilivyoridhia kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025, ni AAFP, ACT WAZALENDO, ADA-TADEA, ADC, CCK, CCM, CHAUMA, CUF, MAKINI, DP, NCCR-Mageuzi, NLD, NRA, SAU, TLP, UDP, UMD na UPDP.

Ni chadema pekee ndio walio kataa, na ndio chama pekee kinachojadiliwa zaidi na ccm na takataka zake!!
Chama hakina jeshi, mwenyekiti yuko ndani, chama hakina wanachama wengi, hakina fedha za kutosha, hakuna mafuriko ya watu kwenye mikutano yao. LAKINI NDIO WANAO JADILIWA NA KILA MTU!!! CHADEMA NI WAKUBWA KULIKO UNAVYO FIKIRIA
Naam ndugu watazamaji, mbele yenu ni linyumbu likijipatia faraja kinyooonge kabisa. Nyuzi za kujijadili wanaanzisha wenyewe Kisha wanajifanya kusingizia wengine. Ukipitia nyuzi zote za nyumbu, Chama wanachokiogopa wamekitaja mara nyingi zaidi ya chao.
 
Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu

Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,

Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁

Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁
 
Maajabu! Washashinda kwa goli la mkono wanatujazia server tu hapa, tuacheni tukachangie kula kimasihara kule, sherehekeeni ushindi wa mama
 
C
Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu

Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,

Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁

Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
CHADEMA wamejichanganya wenyewe ndyo mwisho wao
 
Back
Top Bottom