mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Namba 4 itatuacha hoiHuu mtego walioutega Chadema utanasa wengi sana,
1.G55 waaamue pa kwenda,ama wabaki kupambania no reform no election
2.Kujua uelekeo rasmi wa Covid 19 baada ya Chadema kufunga dirisha la kugombea
3.Rencilition ya mama kuprove failure,Reforms kumuwakia moto na resilience kumshinda kwa kuweka watu ndani,hapa CCM haichomoki
4.Kujua ACT wazalendo wanapigania demokrasia ipi kupitia kampeni yao ya 'Linda demokrasia
😀Namba 4 itatuacha hoi
Mkuu,Maua yako hayo👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐Huu mtego walioutega Chadema utanasa wengi sana,
1.G55 waaamue pa kwenda,ama wabaki kupambania no reform no election
2.Kujua uelekeo rasmi wa Covid 19 baada ya Chadema kufunga dirisha la kugombea
3.Rencilition ya mama kuprove failure,Reforms kumuwakia moto na resilience kumshinda kwa kuweka watu ndani,hapa CCM haichomoki
4.Kujua ACT wazalendo wanapigania demokrasia ipi kupitia kampeni yao ya 'Linda demokrasia
Aha ha ha Chadema akili kubwa CCM matumbo JotoHuu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu
Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁
Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Msiba wa jirani ni msiba wako Tunashiriki kwenye mapishi Hadi kuzikaHuu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu
Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁
Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Kwanza nianza na kucheka...😀Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu
Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁
Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Nyumbu wanahangaika, nyuzi wanaanzisha wao lkn wanawasingizia wengine.Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu
Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁
Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Nyumbu yule mumeo anayeshindwa kukutia mimba mwaka wa saba huuNyumbu wanahangaika, nyuzi wanaanzisha wao lkn wanawasingizia wengine.
Naam ndugu watazamaji, mbele yenu ni linyumbu likijipatia faraja kinyooonge kabisa. Nyuzi za kujijadili wanaanzisha wenyewe Kisha wanajifanya kusingizia wengine. Ukipitia nyuzi zote za nyumbu, Chama wanachokiogopa wamekitaja mara nyingi zaidi ya chao.Kwanza nianza na kucheka...😀
Vyama 18 vilivyoridhia kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi 2025, ni AAFP, ACT WAZALENDO, ADA-TADEA, ADC, CCK, CCM, CHAUMA, CUF, MAKINI, DP, NCCR-Mageuzi, NLD, NRA, SAU, TLP, UDP, UMD na UPDP.
Ni chadema pekee ndio walio kataa, na ndio chama pekee kinachojadiliwa zaidi na ccm na takataka zake!!
Chama hakina jeshi, mwenyekiti yuko ndani, chama hakina wanachama wengi, hakina fedha za kutosha, hakuna mafuriko ya watu kwenye mikutano yao. LAKINI NDIO WANAO JADILIWA NA KILA MTU!!! CHADEMA NI WAKUBWA KULIKO UNAVYO FIKIRIA
Ndg wanaJF, nyumbu hili ndo limechanganyikiwa kabsaaaaa...limebaki kutukana tu.Nyumbu yule mumeo anayeshindwa kukutia mimba mwaka wa saba huu
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu
Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁
Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
CHADEMA wamejichanganya wenyewe ndyo mwisho waoHuu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu
Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni kama hakiwapi amani tena😁
Kelele za nini huko CCM? Si muendelee na danganya toto za uchafuzi?
Inakuuma nini wewe kijani?C
CHADEMA wamejichanganya wenyewe ndyo mwisho wao
Angalia usije kuwa mwanzo...C