STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Alijipatia umaarufu mkubwa kwenye vichekesho vya kundi la VITUKO SHOW, alizoeleka kuigiza lafudhi ya kimakonde....
R.I.P Mchekeshaji Kundambanda..
-
ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa vichekesho nchini zikionyesha taarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania, Ismail Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’ kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show. Taarifa za awali zinadai kuwa amefariki akiwa nyumbani kwao Masasi, Mtwara,