Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba (Kundambanda)

Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba (Kundambanda)

1gb
Anawapa pole familia ya Marehemu,ndugu,jamaa na marafiki popote pale walipo.
 
daa.me sijui kwa nini.nilikuwa najua kuwa huyu mjomba kafariki siku nyingi tuu na nishawahi kumwambia mtu fulani kuwa huyu mzee kafariki takriban mwezi umepita.Mungu anisamehe,au nilipokea taarifa ya kuumwa kwake nikachanganya na kifo? by the way huyu mzee nilikuwa namkubali sana kwa uigizaj wake wa comedy.hii habari haijanishtua sana mana nilikuwa nayo kichwani tayari japo haikuwa kweli.by the way:REST IN POWER
 
Back
Top Bottom