Msiba......... UDOM!

Msiba......... UDOM!

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Mwalimu Bernadeta Minja wa kitivo cha Sayansi ya Jamii, Idara ya Uchumi na Biashara UDOM, amefariki dunia jana kwa ajali ya gari akiwa safarini yeye pamoja na mfanyakazi wake wa ndani wakielekea Dodoma!
Alikuwa mwalimu wangu nakumbuka alinifundisha Masomo ya Uchumi nikiwa mwaka wa kwanza mwaka 2008.
R.I.P Madame Minja!
 
Mwenye picha tafadhali tuwekee maana wengine hatumkumbuki vizuri
 
Mwenye picha tafadhali tuwekee maana wengine hatumkumbuki vizuri

RIP Bernadetta. Tutamiss sana uchangamfu wako. Tangulia nasi tunafuata. Duniani wote tunapita, tunachanua kama maua na kunyauka ghafla. Mungu awaponye haraka waliosalimika katika ajali ya Mohamed Trans Gairo
 
429602_503084826404628_726310775_n.jpg

Alikuwa anafundisha masomo ya Economics.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu peponi amen

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huo kama sikosei ni msiba wa tatu kutokea katika kipindi cha majuma matatu kwa wafanyakazi wa huko UDOM. Poleni sana wanajumuiya wa UDOM kwa kuondokewa na watumishi!
 
its so sad, R.I.P madam,
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1362424410744.jpg
    uploadfromtaptalk1362424410744.jpg
    12.6 KB · Views: 109
Mwalimu
Bernadeta Minja wa
kitivo cha Sayansi ya Jamii, Idara ya Uchumi na Biashara UDOM, amefariki
dunia jana kwa ajali ya gari akiwa safarini yeye pamoja na mfanyakazi
wake wa ndani wakielekea Dodoma!
Alikuwa mwalimu wangu nakumbuka alinifundisha Masomo ya Uchumi nikiwa
mwaka wa kwanza mwaka 2008.
R.I.P Madame Minja!

r.i.p

ushauri wangu, wanaojifunza udereva mikoani, wawe na tahadhari kubwa.
huu ni msb wa 2 wa ajal ya gari wa mwl wa udom, nadhan pia nimeshuhudia
madereva waliojifunzia mikoani, hasa ambayo haina fujo barabarani hukosa
umakini wawapo barabarani. nawaomba tuchunge sana hli linaua watu wengi
sana
 
429602_503084826404628_726310775_n.jpg

Alikuwa anafundisha masomo ya Economics.
Oh jamani baada ya kuona picha nimestuka sana.Tumemaliza naye Mlimani 2005 na tulikuwa karibu sana,tulishea masomo ya economics mimi nikiwa Bcom na tulishi mabibo hostel.Nakumbuka sana company yake wa wadada na vijana wachangamfu.O God whythis happened to this young lady?.RIP BENNEDATA
 
Huo kama sikosei ni msiba wa tatu kutokea katika kipindi cha majuma matatu kwa wafanyakazi wa huko UDOM. Poleni sana wanajumuiya wa UDOM kwa kuondokewa na watumishi!
TATANyago ni vema pia kuwa makini na driving ya safari ndefu.Mimi siku zote ninapo fanya safari za mbali na nataka kwenda na gari nakodi dereva mzoefu na mwenye nidhamu toka ofisini kwangu. namwezesha posho yake ya kawaida na nauli ya kumrudisha. Tatizo letu tunafirkiri kuendesha gari mjini ni sawa na kwenda masafa marefu huku ukikutana na madereva wa mabasi wasio na nidhamu na utu barabarani kwa magari madogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom