MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wanasimbaaaaa!
Game iliyopita hatuna cha kuifanya ila kesho ni nafasi nyingine ya kupigania ubingwa tulioporwa na Uto.
Wanasimbaaaaa, kesho tuna vita muhimu na timu ngumu zaidi kwenye ligi yetu. Tukaiunge mkono timu yetu tushinde ili turudishe confidence kuelekea game yetu na Vipers.
Wale watakaokuwa Dar kesho twende uwanjani wajue Simba hatuendi na upepo wa matokeo.
Azam poleni sana, kesho mmeingia wakati mbaya! Mtajuta!
Kesho lazima kuna key players itabidi wapumzike mashabiki tuelewe na wengine kucheza kipindi kimoja lakini wataopata nafasi tunataka kuona jasho lao la haki kwetu wapenzi wa Lunyasi.
All the best moja ya timu bora kabisa barani Afrika! Simba Sports Club!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app