Msiba umeisha, kesho tukapoze machungu!

Msiba umeisha, kesho tukapoze machungu!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wanasimbaaaaa!

Game iliyopita hatuna cha kuifanya ila kesho ni nafasi nyingine ya kupigania ubingwa tulioporwa na Uto.

Wanasimbaaaaa, kesho tuna vita muhimu na timu ngumu zaidi kwenye ligi yetu. Tukaiunge mkono timu yetu tushinde ili turudishe confidence kuelekea game yetu na Vipers.

Wale watakaokuwa Dar kesho twende uwanjani wajue Simba hatuendi na upepo wa matokeo.

Azam poleni sana, kesho mmeingia wakati mbaya! Mtajuta!

Kesho lazima kuna key players itabidi wapumzike mashabiki tuelewe na wengine kucheza kipindi kimoja lakini wataopata nafasi tunataka kuona jasho lao la haki kwetu wapenzi wa Lunyasi.

All the best moja ya timu bora kabisa barani Afrika! Simba Sports Club!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mambo yetu ayo[emoji1][emoji1]
Screenshot_20230220-214456.jpg
 
Kwa yaliyo tokea jumamosi,Leo unawashauri wakajazane Tena kwenye jumba la kutisha Kwa Mkapa!!,Tena dhidi ya Azam.
 
Unyonge umeisha, kazi kazi sasa [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ni ujinga kutarajia ushindi chini ya huyu kocha mzungu.

Wachezaji hawajiamini chini yake,alishawaharibu kisaikolojia.Usitarajie makubwa.

Hata hivyo sina nia ya kukuita mbumbumbu ukiwa na hiyo imani kuwa Simba itashinda
 
"Azam poleni sana, kesho mmeingia wakati mbaya! Mtajuta"

Una mikwara sana[emoji23][emoji23]
 
Azam wakitulia iyo ndio mechi ya kuchukua point za bure, yaani ni point ambazo ziko nje nje, Simba anatakiwa akacheze na vipers trh 25, lazima atawapumzisha wachezaji wake muhimu kutokana na uchovu, kama tunavyojua simba kikosi chake ukiondoa wanaoanza wale wakaa benchi ni kama watumishi hewa kiufupi wana kikosi kidogo sana wanachokitegemea kiwape matokeo, tofauti na yanga, ukijumlisha na uchovu wa mechi ngumu ya juzi Azam kama wakiwa kwenye ubora wao wanabeba point 3 muhimu
 
Wanasimbaaaaa!

Game iliyopita hatuna cha kuifanya ila kesho ni nafasi nyingine ya kupigania ubingwa tulioporwa na Uto.

Wanasimbaaaaa, kesho tuna vita muhimu na timu ngumu zaidi kwenye ligi yetu. Tukaiunge mkono timu yetu tushinde ili turudishe confidence kuelekea game yetu na Vipers.

Wale watakaokuwa Dar kesho twende uwanjani wajue Simba hatuendi na upepo wa matokeo.

Azam poleni sana, kesho mmeingia wakati mbaya! Mtajuta!

Kesho lazima kuna key players itabidi wapumzike mashabiki tuelewe na wengine kucheza kipindi kimoja lakini wataopata nafasi tunataka kuona jasho lao la haki kwetu wapenzi wa Lunyasi.

All the best moja ya timu bora kabisa barani Afrika! Simba Sports Club!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kuweni makini wasije wakapiga tena kwenye mshono
 
Back
Top Bottom