Msiba wa George Kahama wamkumbusha Mhariri wa Raia Mwema, Abdulwahid Sykes

Economist hili tunalolijua,au zamani kulikuwa na lingine tofauti- na hasa hiyo nakala uliyoandika ilikuwa inahusu nini??
Jackline,
Ni hili The Economist ambalo ni mashuhuri.

Sikumbuki niliandika kuhusu nini lakini ilikuwa inahusu
siasa za Tanzania.
 
Jackline,
Ni hili The Economist ambalo ni mashuhuri.

Sikumbuki niliandika kuhusu nini lakini ilikuwa inahusu
siasa za Tanzania.
Umeandika katika Economist,na hukumbuki umeandika nini?? Ina maana Economist alikuwa na hadhi ya sasa? yaani hiyo nakala hata uku I frame??
 
Umeandika katika Economist,na hukumbuki umeandika nini?? Ina maana Economist alikuwa na hadhi ya sasa? yaani hiyo nakala hata uku I frame??
Jackline1,
Toka niache kuandikia magazeti hayo sasa inafika takriban miaka 30.
Kiasi ni miaka mingi foto kopi za makala zinapotea nk. nk.
 
Mohamed Said , keshaweka habari za Kyaruzi nenda kasome utaona ni paragraph mbili tu ndio zenye Kyaruzi, kwingine kote ni Sykes tu, mi sio mgeni na nyie Dada Faiza

Weka wewe historia ya Kyaruzi au mwengine yeyote umpendae na usiwataje wazee wetu. Kinakushinda nini?

Mbona historia ya kivukoni iliweza kuandika historia ya TANU iliyoanzia na kuishia kwa Nyerere?

Badala ya kuja na porojo, Allah akaonesha njia akampa uwezo aliyetokea mitaa hiyo hiyo alipopokelewa Nyerere, akafunguliwa makabrasha na wale wale waliompokea Nyerere, akapewa na uwezo wa kuyakusanya na mengine mengi huku na kule, akatiririka kwenye kitabu, matokeo?

Historia adhyim na adim ambayo imefichuwa na kuweka wazi mengi sana ambayo waliyoiandika historia ya kivukoni hawakuyajuwa na wala wasingeliyajuwa, simply kwa kuwa source yao ni Nyerere na historia hiyo inaanzia na kuishia kwa Nyerere.

Wewe sasa, ni jukumu lako kutuletea mbadala au kusema "hapa haikuwa hivyo, ilikuwa hivi na hivi na hivi, na sisi wasomaji tutaamua wenyewe ipi tuchukue ipi tuache.

Hivi usongo wa nini?
 

Ndio maana ya Historia hiyo, huwezi kuweka kila kitu ndani ya Historia
 
Ndio maana ya Historia hiyo, huwezi kuweka kila kitu ndani ya Historia

Ndiyo maana ile ya kivukoni ikaanzia kwa Nyerere ikaishia kwa Nyerere, si ndiyo? Na Mohaed Said akaliona hilo akanyanyua kalamu akaandika historia ya wazee wake.

Haya na wewe tuwekee ya wazee wako basi, au ya Kyaruzi tu pekee.

Mohamed Said kaandika historia ya harakati zilipoanzia na kaziainisha vilivyo, nawe unaweza kuelezea kwa namna yako. Kuna aliyekupinga?

Lakini kuja kusema ooh anaandika ya Kyaruzi anatia ya Abdul Waheed Sykes, hivi hukuiona post namba moja ile attachment aliiandika Mohamed Said? Au si kuhusu Kahama ile? Na umeona mwanzo mwisho anatajwa Kahama tu?

Huna jipya unaleta ubishani wa kijinga. Bisha halafu weka unachokikosoa au kukibishia mbadala wake ni huu, wewe unabisha hewa tu.
 

Ni kama ile Historia ya Zanzibar ya Ghassan inayopigiwa debe kila siku na Mohamed Said , Historia inayoanzia kwa Sultan wa Zanzibar as if Zanzibar kulikuwa hakuna watu kabla ya hao Wavamizi wa Kigunya,

Sitakujibu tena kwenye mjadala huu, labda mwingine
 


Wewe mbona huleti mbadala? Umekwama porojo kuhusu Alama Mohamed Said, sasa unaanza porojo kuhusu Dr. Ghassan, utaweza kweli?

Nnakumbuka wakati Tundu Lissu anamzungumzia Nyerere pale bungeni alikuwa ananukuu kitabu cha Dr. Ghassan, unakumbuka? Jikumbushe: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu!
 
Kituko,
Unaandika kwa chuki na kuonyesha ubaguzi.

Wagunya ni kabila kama makabila mengine ambayo hatukuchagua
kuzaliwa humo ndani.

Fanya mjadala wa kiungwana huna sababu ya kutukana watu.

Historia aliyoandika Dr. Ghassany haikuanza na Sultani na kuishia
na Sultani labda ikiwa hujasoma kitabu ambacho kipo mtandaoni
kisomwe bure na kila mtu.

Uvamizi wa Zanzibar ulifanywa na Wareno hakufanywa na Wagunya.
Waomani wakaja kuwaondoa katika Pwani ya Afrika ya Mashariki.

Ukiwa unataka tufanye mjadala wa uvamizi wa Zanzibar mimi niko
tayari na nakukaribisha kwa mikono miwili.

Tuanze na uvamizi wa askari mamluki kutoka Tanganyika waliovamia
Zanzibar kutoka Kipumbwi wakiwa na mapanga kuingizwa Zanzibar
kupindua serikali ambayo ilichaguliwa na watu kwa kura.

Hawa mamluki waliua watu wengi sana.

Kuhusu hilo la wewe kuacha kumjibu Maalim Faiza...
Niwie radhi wewe huna ''intellect,'' ya kujibishana na Maalim Faiza.

Itakuwa bora kwako na kwetu sote ukawa kimya.
Hatutakukosa.
 
Aah jamani kwa nini mnamsahau Zuberi Bakampeja na Abdullah Bwojo na Issa Juma na Mariam Kokugonzolwa na Muhidini Keto na Salum Iddi na Hawa Lutama na Athumani Rutatatenekwa na Amani Abedi Karume na Adam Nasibu na Mohamed Rutaihwa na Saidi Iborogero na Juma Ali na Iddi Juma na Abdallah Magunia.
 
William,
Tupe historia za hawa wazalendo waliosahauliwa.
Ahsante sana kwa taarifa hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…