Msiba wa Getrude Rwakatare ulivyonihuzunisha...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila jamani najitahid kusahau na kuzuia maumivu nashindwa, huyu Mama kweli wa kuzikwa na watu 10? , kama walikua wanajali sana hiyo corona mbona sehem nyingi za mkusanyiko bado ziko wazi ? Makanisa, masoko Na sehemu nyingi tu kuna mikusanyiko kama kawaida? Why wamfanyie vile yule Mama Jaman ? Au alikua na bifu na serikali ?.

Yule mama Jaman Alikua mtu wa watu , Mama alijituma sana enzi za uhai wake , ilibid apewe heshima yake siku ya mwisho kama ilivyostahili, yani warumi naumia sana jinsi walivyomzika yule Mama , hata alipo Uko nadhan atakua anasikitika.

Na hata kiongoz mmoja wa maana serikalin hakutokea kwenye mazishi loh, mi Ndio maana sitakag ushoga wa kijinga jinga, watu wanakuchekea ukiwa hai ukifa wanakungonga mxieew upumzike kwa amani Mama , umepigana sana duniani, wewe ni mwanamke bora

 
Yaliyopita sindwele. Cha msingi ni kumuombea Mungu amuepushie adhab za kabr

Nakukumbusha kuchukua tahadhari na homa hatar ya mapafu kwa kukaa umbali wa mita moja.
Vile vile kuvaa barakoa

komesha korona
 
Halafu mama alikuwa anajua sana kutupia viwalo,anamechisha kuanzia kofia hadi kiatu na akishatupia hicho kiwalo hutakiona tena kuvaliwa,nilichompenda zaidi yeye alikuwa anahubiri utajirisho tu ni tofauti na huyu mwingine aliyeondoka jana ambaye yeye alikuwa anahutubia na kufundisha mahusiano ya mwanamke na mwanaume utadhani alikuwa anatusaidia kutongozana.
 
Pengine wewe ukija kuzikwa na mtu mmoja,hutamshangaa aliyezikwa na watu 10
 
Kimbiaaaaaa....... Kimbiaaaaaa.... Kimbiaaaaaa...... Upepo wa kisulisuli.... Njoo ujipatie mume.......

Ana sauti ya kipekee sana , Sauti yake itaendelea kudumu milele na milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…