warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ila jamani najitahid kusahau na kuzuia maumivu nashindwa, huyu Mama kweli wa kuzikwa na watu 10? , kama walikua wanajali sana hiyo corona mbona sehem nyingi za mkusanyiko bado ziko wazi ? Makanisa, masoko Na sehemu nyingi tu kuna mikusanyiko kama kawaida? Why wamfanyie vile yule Mama Jaman ? Au alikua na bifu na serikali ?.
Yule mama Jaman Alikua mtu wa watu , Mama alijituma sana enzi za uhai wake , ilibid apewe heshima yake siku ya mwisho kama ilivyostahili, yani warumi naumia sana jinsi walivyomzika yule Mama , hata alipo Uko nadhan atakua anasikitika.
Na hata kiongoz mmoja wa maana serikalin hakutokea kwenye mazishi loh, mi Ndio maana sitakag ushoga wa kijinga jinga, watu wanakuchekea ukiwa hai ukifa wanakungonga mxieew upumzike kwa amani Mama , umepigana sana duniani, wewe ni mwanamke bora