MSIBA WA JAFAR WA JF (msiba wa siku nyingi)

MSIBA WA JAFAR WA JF (msiba wa siku nyingi)

RIP JAFAR, Ndio maana sijaona michango yake muda mrefu..
 
oooh my god nimeona hiyo Avatar ya JAFAR nimekumbuka mbali ,hii hatari kweli kweli na ukosefu wa information
RIP JAFAR tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi
 
kila nafsi itaonja mauti..
Umetangulia na sisi tutakufuata
RIP Jafar.
 
Vizuri kutujuza, rest in peace jafar
 
Pamoja na kuwa na hizi I'd zetu..Ni vizuri kufahamiana!
Asante kwa habari.
RIP jafar
 
Back
Top Bottom