Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

mods sijui kwa nini hawajaitoa hii topic kwa afya ya mtoa post na wachangiaji na King Majuto mwenyewe
 
Unazidi kujidhalilisha.... leave JK alone please.
 
Kwa wanaojua kuwatag mods wafanye hivyo huu uzi uondolewe maana unavyoendelea watu wataanza kumsengenya marehemu.
 
Upupu uliokithiri huu na ni ufitini uliopitiliza. Lengo la uzi wako huu ni nini hasa?
 
Mtoa mada nadhani anahitaji msaada wa kimatibabu
 
Kikwete hakukosea. Angeanzia na kuishia wapi kugawa matrekta?
Kwa wasanii?
Wanajeshi wastaafu?
No rahisi kusema lakini ngumu kutekeleza.
 
Huyu hata akiwa na demu wk akishindwa kukojoa atailaumu serikali ama CCM!
 
Huyu hata akiwa na demu wk akishindwa kukojoa atailaumu serikali ama CCM!
 
Ungeanzisha thread hii kipindi mzee yupo hai, uzalendo wako ungeonekana but now you're too late mkuu, ila R.I.P KING
 
Sina nia ya kuonesha sijali msiba.

Rest in Protons King Majuto.

King Majuto apewe upendeleo kwa minajili gani?

Kila mtu akianza kuomba msaada anaoutaka kwa serikali kwa sababu hajajipanga vizuri maishani mwake, nani atamsaidia nani?

Kila mtu ana matatizo.

Hili liwe fundisho kwa vijana wanaotanua sana leo.

Kuna leo na kesho.

Jiwekee akiba ya uzeeni, usije kuadhirika.

Kuombaomba kwa mambo ya msingi mtu unayotakiwa kujikimu ni aibu.

Tumerahisisha na kufanya kuombaomba si tu si jambo la aibu, bali pia tunaanza kuhalalisha kwamba kuombaomba ni haki ya watu.

Hii sio tu si haki, ni jambo la aibu.
 
King Majuto hakuwa mtu wa kupewa tractor bali yeye ndiye alipaswa kumpa mtu tractor!

Rest in peace King Majuto!
 
Acheni ujinga watz kwani Kikwete ana hela za kugawa hovyo.......
maana ombi la trekta maana yake ilibidi atoe kwenye mfuko wake.
sio hela ya serekali
 
Nilitaka kujibu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…